Miaka 52, chaguzi na haki ya kuwa huru ndani ya Zanzibar huru
Sasa ni mwaka 52 tangu Uhuru wa Disemba 1963 na Mapinduzi ya 1964 ambavyo, kwa njia moja ama nyengine, vilitarajiwa kuwapatia Wazanzibari fursa ya kujitawala wenyewe. Sijiweki kwenye ubishani wa kipi...
View ArticleWazanzibari kataeni kuabudu mizimu
OKTOBA, 1987, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alihutubia Baraza la Mapinduzi la Zanzibar juu ya kile kinachoweza kuelezewa kama “Mzimu wa Watu wa Kale” unaosumbua mustakabali wa siasa...
View ArticleMiaka 52 na bado tuna fikra-pingu
Tukiwa tunaeleke kwenye Sherehe za Mapinduzi ambazo zimekuwa zikifanyika kwa miaka yote tokea kutokea kwa Mapinduzi ya 1964. Maana halisi ya sherehe hizo ni kukumbuka na kuadhimisha ukombozi wa...
View ArticleNipo madarakani kwa mujibu wa katiba – Dkt. Shein
“Tuko madarakani na uongozi wote wa serikali… yupo Makamu wa Kwanza wa Rais, Makamu wa Pili wa Rais na mawaziri” alisisitiza Dk. Shein na kuongeza kuwa hao wanaodai kujiondoa serikalini huo ni uamuzi...
View ArticleBalozi Iddi usimchonganishe Magufuli na umma
Hivi karibuni, Balozi Seif Ali Iddi alisikika akisema mbele ya waandishi wa habari kwamba licha ya kuwa hajui kilichozungumzwa kati ya Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
View ArticleDk. Shein anapojielekezea vidole vinne mwenyewe
Licha ya kuwepo mgogoro mkubwa wa kisiasa na kikatiba katika visiwa vya Zanzibar, kuanzia tarehe 3 Januari 2016, Dk. Ali Mohammed Shein pamoja na viongozi wote wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleJanuari 12 iwe siku ya kuuelezea mkwamo Z’bar – AZAKI
Tunadhani viongozi wamepata muda wa kutosha kujadiliana na sasa ni imani yetu kuwa wakati umefika kwa viongozi wanaokutana kutoka hadharani ikiwezekana siku ya maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar,...
View Article‘Usanii’ wa Zanzibar upigwe marafuku
Kati ya mambo muhimu yanayojadiliwa sana hapa nchini kwa sasa ni “mgogoro wa kisiasa Zanzibar”. Mgogoro huu si wa kwanza kusikika, ni mgogoro wa mwendelezo wa migogoro mingi iliyowahi kutokea huko...
View ArticleCCM haina la kuomba radhi kwa “siasa za uchotara”
Taarifa iliyotolewa siku ya tarehe 12 Januari 2016 na Daniel Chongolo, aliyejitambulisha kuwa mkuu wa mawasiliano na umma wa Chama cha Mapinduzi (CCM) inasema chama hicho “kimesikitishwa sana na ujumbe...
View ArticleVijana CUF kutoshiriki uchaguzi wa marudio
Sisi Jumuiya ya Vijana CUF tunakubaliana na Uongozi wa CUF Taifa kuwa hakuna sababu yoyote ya kushiriki katika Uchaguzi wa Marejeo kwa sababu CUF ilishapewa ridhaa ya kuongoza nchi na wapiga kura...
View Article“Sisi ni waungwana lakini si dhaifu”– Maalim Seif
Ni bahati mbaya sana kwamba wengine wanauchukulia uungwana na ustaarabu wetu kwamba labda ni dalili ya udhaifu na wanadhani labda wanaweza kutuburuza. Kwa hilo, nawaambia wazi kwamba WASAHAU. Nataka...
View ArticleSiku ‘ujechajecha’ ulipohamia kwa wasomi wa SUZA
Ikiwa ni takribani miezi mitatu tokea Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kutuhumiwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kuufuta uchaguzi mkuu wa...
View ArticleVijana CCM wawajia juu walioyatafsiri mabango ya “siasa za uchotara”
Jumuiya yetu imeanza kuchukua hatua kali za kisheria kwa wote walio husika na kadhia hiyo kwa vile tayari tumeanza kuwafahamu waliofanya vitendo hivyo kupitia mamlaka za mawasiliano na vyombo vya dola,...
View ArticleDk. Shein aaswa asiipeleke nchi njia ya Burundi, Rwanda
Tangu Aprili 2015 alipolazimisha kuteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwania urais na kushinda uchaguzi huo uliofanyika Julai, zaidi ya watu 400 wamekufa katika mapambano kati ya vikosi vya...
View ArticleCCM ‘iwatose’ wabaguzi kwa maslahi ya demokrasia Zanzibar
Mimi ni zao la Zanzibar. Ni matokeo ya maelfu ya pepo za msimu zilizowapeperusha watu wa madau kutoka duniani kote kuja kwenye visiwa hivi viduchu vilivyochipuka katika maji vuguvugu ya Bahari ya Hindi...
View ArticleKwa la Zanzibar, Rais Magufuli hawezi kujifanya hahusiki
Makala ya Mheshimiwa Pius Msekwa, Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hapana shaka kada mkubwa wa Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii...
View ArticleKwa uhai wa Zanzibar, tushukeni vituoni
Masaa machache yaliyopita, Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza tarehe ya marejeo ya uchaguzi wa Zanzibar kufanyika Machi 20, takriban miezi miwili kutokea leo. Hii imetokana na kufutwa kwa...
View ArticleJecha aipalilia makaa CCM
Tarehe 22 Januari 2016 ni siku nyengine kwenye historia ya Zanzibar baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC), Jecha Salum Jecha, kujitokeza katika televisheni ya serikali akisema uchaguzi wa...
View ArticleMaalim Seif hajawahi kuwasaliti Wazanzibari
Yapo maoni ya baadhi ya watu kwamba kitendo cha Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) kushiriki katika mazungumzo na mgombea mwenzake wa Chama...
View ArticleZanzibar: Election re-run raises likelihood of confrontation
After a long period of negotiations, it was announced on Friday that Zanzibar will hold a re-run of elections on 20 March. The news was accompanied by a deployment of security forces in the...
View Article