Ikiwa ni takribani miezi mitatu tokea Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kutuhumiwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kuufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar kwa madai ya kuwepo kasoro nyingi kwenye uchaguzi huo, sasa kitendo hicho kimekuwa sehemu ya mfumo wa chaguzi kwenye taasisi nyengine visiwani kama ilivyoigizwa kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Taifa …
↧