“Tuko madarakani na uongozi wote wa serikali… yupo Makamu wa Kwanza wa Rais, Makamu wa Pili wa Rais na mawaziri” alisisitiza Dk. Shein na kuongeza kuwa hao wanaodai kujiondoa serikalini huo ni uamuzi wao wenyewe. STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar 06 Januari, 2016 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali …
↧