Sasa ni mwaka 52 tangu Uhuru wa Disemba 1963 na Mapinduzi ya 1964 ambavyo, kwa njia moja ama nyengine, vilitarajiwa kuwapatia Wazanzibari fursa ya kujitawala wenyewe. Sijiweki kwenye ubishani wa kipi kilikuwa halali kati ya viwili hivyo, maana nikiwa kijana niliyezaliwa miaka ya mwishoni mwa miaka ya ’80, ubishi huo hauna maana yoyote kwangu na nayachukulia yote mawili kuwa ni matukio ya kihistoria ya nchi …
↧