Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Jecha aipalilia makaa CCM

$
0
0
Tarehe 22 Januari 2016 ni siku nyengine kwenye historia ya Zanzibar baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC), Jecha Salum Jecha, kujitokeza katika televisheni ya serikali akisema uchaguzi wa marudio utafanyika tarehe 20 Machi mwaka huu na wala hakutakuwa na kampeni wala wagombea wapya wagombea, bali wale wale waliowania katika uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba alioufuta kinyume na sheria siku tatu baada ya kufanyika …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles