Kati ya mambo muhimu yanayojadiliwa sana hapa nchini kwa sasa ni “mgogoro wa kisiasa Zanzibar”. Mgogoro huu si wa kwanza kusikika, ni mgogoro wa mwendelezo wa migogoro mingi iliyowahi kutokea huko nyuma na yote ikihusisha suala la haki ya kidemokrasia inayotokana na maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi. Wakati sisi tunajadili suala la Zanzibar kama mgogoro, ukweli ni kuwa kinachoendelea Zanzibar ni zaidi ya mgogoro, ni …
↧