Elections on Zanzibar: An exercise in futility
While President Magufuli works around the clock to cut waste within Tanzania’s government, he appears to have overlooked a political crisis on the Zanzibar isles, where a “rogue” election commissioner...
View ArticleCCM ‘iwatose’ wabaguzi kwa maslahi ya demokrasia Zanzibar
Mimi ni zao la Zanzibar. Ni matokeo ya maelfu ya pepo za msimu zilizowapeperusha watu wa madau kutoka duniani kote kuja kwenye visiwa hivi viduchu vilivyochipuka katika maji vuguvugu ya […]
View ArticleCUF yaamua kutoshiriki ‘uchaguzi’ wa Machi 20
…..limesikitishwa na kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli, kukwepa dhamana na wajibu wake kama Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu kwa […]
View ArticleRais Magufuli, unaifumbia macho dhuluma na hatutakuelewa
Katika makala hii, nakusudia kupitia machache katika maneno ya hekima na busara yaliyowahi kusemwa na wanafikara na wanaharakati wa ukombozi duniani kuhusu uhalisia wa saikolojia ya mkandamizaji na...
View ArticleBaina ya Sahrawi, Timor ya Mashariki na Zanzibar pana mstari mwembamba
Umoja wa Mataifa nao una wajibu wake kwa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya mmoja wa wanachama wake. Ndio maana, kupitia shirika lake la maendeleo (UNDP), imekuwa mdau mkubwa wa uchaguzi […]
View ArticleZahama ya kisiasa visiwani ni ya Magufuli
WIKI hii napenda kujadili suala linalohusu zahma ya kisiasa iliyozuka kwa mara nyingine tena Visiwani Zanzibar, baada ya kufanyika uchaguzi uliokosa tamati mwezi Oktoba mwaka jana. Uchaguzi huo...
View ArticleYatima wa kimataifa ni mzigo wa Magufuli
YANAYOJIRI sasa Zanzibar yamenifanya niyakumbuke ya Algeria ya miaka ya 1990, ingawa hali za nchi hizo mbili, pamoja na siasa zao, ni tofauti. Juu ya tofauti hizo, kuna ya kujifunza […]
View ArticleZanzibar will never be the same again come March 20
Reports from Pemba Island , a stronghold of the Zanzibar opposition, have said the islanders have been waiting for a whistle from their iconic leader, the Civic United Front (CUF) […]
View ArticleZ’bar polls re-run: Democracy is dead
Finally, the cat is out of the bag. The election re-run date is out. The Chairman of the Zanzibar Electoral Commission (ZEC), Mr Jecha Salum Jecha, made the announcement. ZEC […]
View ArticleKujibakisha madarakani kwa nguvu za dola hakutaisaidia Z’bar
Katika gazeti la Mwananchi toleo la Jumatatu, tarehe 1 Februari 2016, kumechapishwa makala yenye kichwa cha habari: “Shein awaonya wanaofikiria kuleta fujo Zanzibar”, ambapo mwandishi wa makala hiyo,...
View ArticleZanzibar on the brink of a new cycle of violence and repression
For the geographer Maïlys Chauvin, the nullification of the october 2015 elections in the archipelago where opposition was about to be declared the winner, jeopardises a hard-won stability. On the […]
View ArticleMagufuli ni wale wale lakini Zanzibar nayo ni ile ile
Kichwani mwangu najenga picha ya jinsi mazungumzo kati ya Rais John Magufuli na watangulizi wake wawili, Jakaya Kikwete wa awamu ya nne na Benjamin Mkapa wa awamu ya tatu, yalivyokuwa […]
View ArticleKwa hali ipi ufanyike “mrejea” Zanzibar?
Ni kweli Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jecha Salum Jecha ametangaza kuwa Zanzibar itakuwa na uchaguzi wa marejeo hapo Machi 20 baada ule wa kikatiba na kisheria wa kila miaka […]
View ArticleTulipofika, panamhitaji ‘Dk. Shein muungwana’
HALI ya kisiasa Zanzibar si rafiki tena. Sababu ni kinachofuatia matukio makubwa mawili: Moja, tangazo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) la kutaja 20 Machi kuwa siku ya uchaguzi wa marudio, badala […]
View ArticleKarume: Ushindi wetu watufanya tuonekane wabaya
Rais wa Afro-Shiraz Mheshimiwa Abeid A. Karume ametoa ushahidi wake mbele ya Halmashauri ya Uchunguzi. Siku ya Jumamosi tarehe 7/9/1961 asubuhi wakili wa ASP Bw. K.S. Talati alimuuliza Bwana Abeid...
View ArticleZanzibar moja ya sababu za Magufuli kutosafiri nje ya nchi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga. Zikiwa zimebaki siku sita, Rais John Magufuli, afikishe siku 100 za utawala wake bila […]
View ArticleBendera ya Muingereza ibakie au iondolewe?
Viongozi wa mataifa ya Pasifiki ya Kusini ya Fiji na New Zealand wanataka kuondosha bendera ya Uingereza kwenye bendera za nchi zao, lakini mipango yao ya kuanzisha bendera mpya zinazoakisi […]
View ArticleUlaya yalalamika, lakini ni Mashariki ya Kati inayoumia
Wakati Ulaya ikiwa inaonekana kubanwa vibaya na mafuriko ya wakimbizi wa Syria, ukweli ni kuwa ni nchi za Mashariki ya Kati ndizo ambazo hadi sasa zimewapokea na kuwahudumia wakimbizi zaidi […]
View ArticleDhahabu, mbao, pembe za ndovu chanzo vya vita vya DRC
Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa juu ya mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, biashara haramu ya pembe za ndovu, dhahabu na mbao yenye thamani […]
View ArticleXi Jinping anavyowakabili cChui na nzi’
Kampeni ya Rais Xi Jinping wa China ya kupambana na ufisadi mkubwa iliyopewa jina la “chui na nzi” kwa sababu ya kuwalenga kwake maafisa wakubwa na wadogo wa serikali inaonekana […]
View Article