Masaa machache yaliyopita, Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza tarehe ya marejeo ya uchaguzi wa Zanzibar kufanyika Machi 20, takriban miezi miwili kutokea leo. Hii imetokana na kufutwa kwa uchaguzi wa Oktoba 25 na Mwenyekiti wa Tume yenyewe, Jecha Salim Jecha, tarehe 28 Oktoba wakati zoezi la majumuisho na kutangaza kura likiwa linaendelea katika kituo cha majumuisho, Bwawani, mjini Unguja. Kitendo cha kufutwa kwa …
↧