Tukiwa tunaeleke kwenye Sherehe za Mapinduzi ambazo zimekuwa zikifanyika kwa miaka yote tokea kutokea kwa Mapinduzi ya 1964. Maana halisi ya sherehe hizo ni kukumbuka na kuadhimisha ukombozi wa Wazanzibari na matumaini ya mabadiliko ya hali za wananchi wa Visiwa hivi. Kwa bahati mbaya moja katika jambo ambalo Mapinduzi hayakufanya ni kuleta maridhiaano (reconciliation) baina ya watu ambao walipita katika siasa za ukinzani na uhasama …
↧