Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Vijana CCM wawajia juu walioyatafsiri mabango ya “siasa za uchotara”

Jumuiya yetu imeanza kuchukua hatua kali za kisheria kwa wote walio husika na kadhia hiyo kwa vile tayari tumeanza kuwafahamu waliofanya vitendo hivyo kupitia mamlaka za mawasiliano na vyombo vya dola, wanachama wetu wote ambao wamechanganya damu wasijisikie wanyonge na hali ya kubaguliwa au kukwazwa na kitendo kilichofanywa na genge hilo la wahuni wa upizani wenye lengo la kutaka kutufarakanisha na kutugawa baada ya kuishiwa …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles