Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Vijana CUF kutoshiriki uchaguzi wa marudio

$
0
0
Sisi Jumuiya ya Vijana CUF tunakubaliana na Uongozi wa CUF Taifa kuwa hakuna sababu yoyote ya kushiriki katika Uchaguzi wa Marejeo kwa sababu CUF ilishapewa ridhaa ya kuongoza nchi na wapiga kura halali wa Zanzibar. JUVICUF inawatahadharisha viongozi wa CCM kuwacha kung’ang’ania kuishinikiza tume ya uchaguzi kutorejea katika kumaliza kazi yake ya kutangaza matokeo halali ya uchaguzi, kutawaaminisha na kuwachochea vijana kutafuta njia mbadala ya …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles