Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Maalim Seif hajawahi kuwasaliti Wazanzibari

$
0
0
Yapo maoni ya baadhi ya watu kwamba kitendo cha Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) kushiriki katika mazungumzo na mgombea mwenzake wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Mohamed Ali Shein, pamoja na viongozi wastaafu kuukwamuwa ‘mkwamo wa kisiasa’ uliojitokeza kufuatia ‘kufujwa‘ kwa uchaguzi wa Oktoba 2015 na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles