Hivi karibuni, Balozi Seif Ali Iddi alisikika akisema mbele ya waandishi wa habari kwamba licha ya kuwa hajui kilichozungumzwa kati ya Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad tarehe 21 Desemba 2015, wala kati ya Rais Magufuli na Dk. Ali Mohammed Shein siku tano baadaye huko Ikulu ya Magogoni, lakini …
↧