Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

CCM haina la kuomba radhi kwa “siasa za uchotara”

$
0
0
Taarifa iliyotolewa siku ya tarehe 12 Januari 2016 na Daniel Chongolo, aliyejitambulisha kuwa mkuu wa mawasiliano na umma wa Chama cha Mapinduzi (CCM) inasema chama hicho “kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya mabango yaliyobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 za Mapinduzi ya Zanzibar” na kwa hilo chama hicho tawala kinaomba radhi, kinapinga …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles