Licha ya kuwepo mgogoro mkubwa wa kisiasa na kikatiba katika visiwa vya Zanzibar, kuanzia tarehe 3 Januari 2016, Dk. Ali Mohammed Shein pamoja na viongozi wote wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walianza harakati za kuadhimisha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutembelea na kufungua miradi mbali mbali iliyoanzishwa na serikali ya awamu iliyomalizika. Akiwa kisiwani Pemba, siku ya tarehe 6 …
↧