The Prevention of Terrorism Act of 2002
After 9/11 the United States passed the Patriot Act of 2001. Soon after it had sailed through the Congress in record time the United States pressurised other governments to pass similar anti-terror...
View ArticleTanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists – Kinana
In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa, when two men on...
View ArticleDeutsche Welle haikusanyi maoni uchaguzi wa Tanzania
Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle inayorusha matangazo yake kutokea Bonn, Ujerumani, imekanusha vikali taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini Tanzania kwamba imekuwa...
View ArticleHata Lowassa naye?
JUMAMOSI iliyopita, Edward Lowassa, aliwakuna Wazanzibari. Akiuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mnazi Moja, Unguja, Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Tanzania wa Chama cha Maendeleo...
View ArticleMo Ibrahim, ukuwaji wa uchumi na utawala ‘mbovu’ Afrika
Afrika yasonga mbele. Hilo halina shaka. Tafiti kadhaa za mashirika makubwa ya kimataifa zinaonesha kuwa Afrika inasogea kwa kasi kwenye ukuwaji wa kiuchumi na vijana wake wanazidi kugundua fursa za...
View ArticleLau Jecha angekuwa mtu wa insafu…
INSAFU ni kito na johari yenye thamani adhimu. Kama wewe ni miongoni mwa watu waliojaaliwa kuwa na johari hiyo katika kuhukumu mambo, soma maelezo yafuatayo, kisha jibu suali la maelezo hayo kwa...
View ArticleWashindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya fasihi ya Kiafrika watangazwa
“ Wakitumia lugha inayovutia na iliyo muwafaka, na mara nyingine lugha cheshi, washindi walizungumzia maswala yanayozikumba jamii za Afrika Mashariki, kama vile utumiaji wa mihadharati na athari zake...
View ArticleWabunge wa CCM na ‘man-qaala lbalozi fahuwa labayka’
“Man qalal balozi fahuwa labayka”, ndivyo uwendavyo msemo wa Kiarabu ukimaanisha chochote alichokwishasema mkubwa fulani, basi kitu hicho kwa vyovyote vile ni sahihi tu. Labda tuseme Kizungu chake ni...
View ArticleMabadiliko hayaji kirahisi, lakini hayazuiliki
Napenda kuelezea machache tu kwa wale wote ambao ni wepesi wa mioyo yao na wanajisahau kuwa sisi Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla tupo katika mapambano na harakati za kimageuzi katika nchi yetu....
View ArticleKama Dk. Shein ni rais halali, anashiriki mazungumzo kwa maana gani?
Kauli ya Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, mbele ya mkutano mkuu wa Chama chake cha Mapinduzi (CCM) kule Dodoma ya kuwataka wana-CCM wenziwe “wasiwe kama samaki” inawakhalisi wahusika kwa...
View ArticleAshakum si matusi
Kwa miongo kadhaa, raia wa Jamhuri ya Gongo walipambana dhidi ya uwongozi uliokuwepo ili kuleta mabadiliko. Walipigana mchana na usiku, jua na mvua, ili mabadiliko yapatikane. Adidi na Adodo walikuwa...
View ArticleKwa la Zanzibar, Magufuli apewe nafasi kabla lawama
Nimesoma kwa kiasi kikubwa maoni ya watu kupitia mitandao ya kijamii na makala ya baadhi ya magazeti kuhusu hatua ya kukutana na mazungumzo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...
View ArticleMakosa matatu ya kuepukwa na Magufuli kwa Zanzibar
Kwa mara nyengine tena, Zanzibar imo kwenye mzozo usioweza kuelezeka kwa msamiati wowote zaidi ya uhuni wa waroho wa madaraka, japokuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Masuala ya Afrika Mashariki na...
View ArticleCCM Zanzibar yatoka mafichoni kuitambua kamati waliyoikana
Dkt. Ali Mohamed Sheni ndie Makamo mwenyekiti wa CCM, ambapo kwa upande wa Zanzibar yeye ndiye mtendaji mkuu kupitia chama hicho kikongwe ambacho katika uchaguzi wa 25 Oktoba 2015 kilonekana kilipitwa...
View ArticleCCM na upotoshaji wa kilichopotoka
Kuna kitu kinapotoshwa kama si kwa bahati mbaya basi ni kwa kukusudia, Kamati Maalum ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, imekutana kujadili hali ya kisiasa Zanzibar, taarifa iliyotolewa na Katibu...
View ArticleSiku Nahodha ‘alipotumbua’ jipu
Mnamo tarehe 10 Juni 2015, niliandika makala iitwayo “CCM Zanzibar haina uhalali kujinasibisha na mapinduzi” nikionesha jinsi mwakilishi wa zamani wa jimbo la Mwanakwerekwe, Waziri Kiongozi Mstaafu,...
View ArticleDk. Shein ajiulize ikiwa anataka kuleta vurugu Z’bar – Prof. Lipumba
Moja ya mafanikio makubwa ya Rais Kikwete ni kuimarisha uhusiano wa Tanzania na mataifa makubwa hususan Marekani na China. Rais Kikwete alifanikisha Tanzania kupata msaada mkubwa wa Millennium...
View ArticleCCM hawaambiani ukweli – Jussa
Tokea Chama cha Mapinduzi (CCM) kupata kipigo cha kihistoria katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba, 2015 ambapo kilizidiwa na Chama cha Wananchi (CUF) kwa kura 25,831 kimekuwa...
View ArticleCUF yatoa sababu 4 kutoshiriki sherehe za Mapinduzi
Tokea yalipofanyika Mapinduzi ya tarehe 12 Januari, 1964, tumekuwa tukiadhimisha tukio hilo kubwa katika historia ya Zanzibar kila mwaka inapofika siku hiyo. Tukio hilo kubwa ndilo lililopelekea...
View Article*Mazungumzo yafikia hatua kubwa – Dk. Shein
Mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambapo tarehe 25 Oktoba, wananchi wa Zanzibar walishiriki katika kuwachagua Viongozi kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri...
View Article