Makala ya Mheshimiwa Pius Msekwa, Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hapana shaka kada mkubwa wa Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii katika siku za hivi karibuni inatoa wito wa kuwepo mjadala wa wazi juu ya madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na masuala ya Zanzibar. Kwenye makala hiyo, Msekwa ametoa …
↧