OKTOBA, 1987, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alihutubia Baraza la Mapinduzi la Zanzibar juu ya kile kinachoweza kuelezewa kama “Mzimu wa Watu wa Kale” unaosumbua mustakabali wa siasa Visiwani Zanzibar kwa zaidi ya nusu karne sasa. Na kama ulivyokuwa msemo wa enzi za utawala wa Sultani karne ya 19, kwamba “Wapigapo chafya Visiwani Zanzibar, Bara huugua mafua”; ndivyo ilivyo hadi leo, kwamba, “Zanzibar …
↧