Rais Shein, muondowe Haji Omari Kheri ulinde heshima yako
Isifike wakati raia akajenga hisia kuwa hatapanda zaidi ya alipo kwa sababu hafanani au hakubaliki kimtizamo au hatapanda alipo kwa sababu tayari ana chapa ya kuwa sio mwenzetu, ingawa hilo hufanywa...
View ArticleMauritius, Seychelles, Zanzibar na hadithi yenye ncha saba
Tuziangalie na tuzilinganishe nchi tatu – Seychelles, Mauritius na Zanzibar – ambazo zote ni visiwa vinavyoelea kwenye Bahari ya Hindi. Jamhuri ya Seychelles iko umbali wa kilomita 1,500 kutoka kusini...
View ArticleHata Kikwete ‘hamjui’ tena Marehemu Salmin Awadh
Wiki hii, Rais Jakaya Kikwete amezungumza na wananchi kupitia kutoa hotuba yake ya kila mwezi kwa njia ya televisheni – dasturi aliyoirithi kutoka kwa mtangulizi wake, Benjamin Mkapa, ya kila mwisho wa...
View ArticleDW yajitosa vita dhidi ya ukatili wa albino T’nia
Idhaa ya Kiswahili ya Deustche Welle nchini Ujerumani imeanzisha kampeni maalum ya mwezi mmoja (Machi 2015) kuongeza nguvu kwenye mapambo dhidi ya ukatili wanaotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi...
View ArticleKama Uzanzibari ni kosa, basi lilikuwa la Nyerere
Licha ya mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, kunukuliwa mara kadhaa akisema kuwa ni yeye aliyependekeza wazo la mfumo uliopo sasa wa serikali mbili, huku mwenzake wa...
View ArticleKupaa, kutunguliwa na kupaa tena kwa Seif Shariff Hamad Zanzibar
JANUARI 1984, Halmashauri Kuu [NEC] ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] iliyoketi kwa dharura mjini Dodoma, ilimvua Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, nyadhifa zote za chama na...
View ArticleSTRAIGHT TALK: Leave us alone, Mr Minister!
The hatred that is being planted in the Zanzibar politics is growing by the day. Not only by Zanzibaris themselves and between them, but now the Mainlanders are also taking part and very dangerously...
View ArticleYa Selma na ya Zanzibar
Tarehe 7 Machi 1965, mamia ya Wamarekani weusi na weupe wenye msimamo wa haki sawa kwa raia wote wa taifa hilo walikusanyika kwenye kitongoji kiitwacho Selma katika jimbo la Alabama nchini Marekani kwa...
View ArticleMtawala anayeanguka huhisabu vifaru na mizinga
Wakati Rais Nicolae Ceauşescu wa Romania alipokuwa anakaribia kilele cha anguko lake, alimuita waziri wake wa ulinzi, Vasile Milea, kumtaka ampe tathmini ya kweli, bila kumficha chochote, juu ya nguvu...
View ArticleKila leo ina kesho
Jumanne ya leo tarehe 10 Machi 2015, mke wa aliyekuwa rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ametiwa hatiani na mahakama ya nchi hiyo kwa makosa matatu – kuhujumu usalama wa nchi, kuchafua amani na...
View ArticleTolerance: Principal Foundation of the Cosmopolitan Society of Zanzibar
For a substantial number of people, notably in the northern hemisphere, the name Zanzibar sounds mythical and makes people dream. However, in reality, it has a physical existence and a particular place...
View ArticleOthman Masoud atabakia daima kwenye rikodi
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Dk. Ali Mohammed Shein atakumbukwa daima ndani na nje ya Zanzibar kwa mchango wake kwa ajenda ya Zanzibar...
View ArticleAjenda ya Zanzibar ndiyo ajenda ya Tanzania 2015 – I
Kuna mambo mawili matatu ya kuyaweka sawa kabla ya kuingia kwenye kiini cha mjadala wenyewe. Kwanza ni kujibu swali ambalo niliwahi kuulizwa kitambo, la ikiwa kweli kuna kitu kinachoitwa “ajenda ya...
View ArticlePinda kapinda lakini Pandu kapindua
LICHA ya sifa lukuki tulizonazo, na ambazo mimi kama Mzanzibari najifaharisha nazo, Wazanzibari tuna udhaifu wetu wa kibinaadamu. Hatupendi kuambiwa ukweli. Kama walivyo wengine, tukiambiwa ukweli...
View ArticleHii si shaghalabaghala, ni ‘baghalashaghala’
OKTOBA ya mwaka huu haitokuwa chapwa asilani kwa Watanzania, hasa wiki zake mbili za mwisho. Kipupwe kitakuwa kinamalizika. Polepole kiangazi kitaanza kuwaka, kikijiingiza kwa ghadhabu na nchi nzima...
View ArticleSisi ni kizazi cha waliopindua na waliopinduliwa
WAKATI Mapinduzi yanafanyika tarehe 12 Januari 1964, baba yangu (Mungu amrehemu) alikuwa ndio kwanza amewasili kisiwani Unguja akitokea Bara, ambako alikuwa ameishi kwa takribani miaka mitano mtawalia....
View ArticleKwaheri Maalim Lee
Sijawahi kuandika tanzia kwa kiongozi mkubwa wa taifa, hasa taifa hilo likiwa ni la mbali sana, ambalo kikwetu ningeliweza kusema halinihusu ndewe wala sikio. Lakini nikiwa Mzanzibari, naiona nchi...
View ArticleMaridhiano ya Wazanzibari na Juha ghorofa ya kwanza
Baada ya uchaguzi wa 2005, nilikuwa mmoja wa vijana wa Kizanzibari ambao tulikuja na wazo la “kijuha” kwenye mazungumzo ya kawaida na hivyo sikushangaa kwamba lilipingwa mara moja na wenye akili zao...
View ArticleJibu la mwisho kwa tatizo la Zanzibar
Kongamano la Wannsee nchini Ujerumani lililofanyika mwezi Januari 1942 lilipitisha azimio lililokuja kupewa jina la “die Endlösung der Judenfrage”, yaani “suluhisho la mwisho kwa tatizo la Mayahudi”,...
View ArticleKauli ya ‘kutolipiza kisasi’ yahitaji kushereheshwa
Jioni ya tarehe 29 Machi 2015, msafara wa wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakitoka Makunduchi, kusini Unguja, kuelekea Mjini Magharibi, ulishambuliwa njiani na ‘watu wasiojulikana.’ Hilo...
View Article