Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Hii si shaghalabaghala, ni ‘baghalashaghala’

$
0
0
OKTOBA ya mwaka huu haitokuwa chapwa asilani kwa Watanzania, hasa wiki zake mbili za mwisho. Kipupwe kitakuwa kinamalizika. Polepole kiangazi kitaanza kuwaka, kikijiingiza kwa ghadhabu na nchi nzima itahanikiza harufu. Haitokuwa harufu ya kiangazi wala ya kipupwe. Wala haitokuwa harufu ya asumini au ya waridi. Mbali na harufu hiyo ambayo, kwa hakika, tunaweza kuinusanusa kwa … Continue reading Hii si shaghalabaghala, ni ‘baghalashaghala’

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles