JANUARI 1984, Halmashauri Kuu [NEC] ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] iliyoketi kwa dharura mjini Dodoma, ilimvua Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, nyadhifa zote za chama na serikali, Visiwani na kwenye Serikali ya Muungano kwa “dhambi” ya kuhoji muundo upi wa Muungano uliokusudiwa; na kwa kuandaa hati ya mashitaka kutaka … Continue reading Kupaa, kutunguliwa na kupaa tena kwa Seif Shariff Hamad Zanzibar
