Wakati Rais Nicolae Ceauşescu wa Romania alipokuwa anakaribia kilele cha anguko lake, alimuita waziri wake wa ulinzi, Vasile Milea, kumtaka ampe tathmini ya kweli, bila kumficha chochote, juu ya nguvu halisi za jeshi mbele ya upinzani ambao ulikwishavuuka mipaka ya kudhibitika. Swali hasa alilomuuliza ni ikiwa kwa hali ilivyo, inaweza kulichukua jeshi siku ngapi za … Continue reading Mtawala anayeanguka huhisabu vifaru na mizinga
