Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Ya Selma na ya Zanzibar

$
0
0
Tarehe 7 Machi 1965, mamia ya Wamarekani weusi na weupe wenye msimamo wa haki sawa kwa raia wote wa taifa hilo walikusanyika kwenye kitongoji kiitwacho Selma katika jimbo la Alabama nchini Marekani kwa nia ya kuandamana hadi makao makuu ya jimbo hilo Montgomery kwa lengo la kupigania haki ya Mmarekani Mweusi kutumia haki yake ya … Continue reading Ya Selma na ya Zanzibar

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles