Sijawahi kuandika tanzia kwa kiongozi mkubwa wa taifa, hasa taifa hilo likiwa ni la mbali sana, ambalo kikwetu ningeliweza kusema halinihusu ndewe wala sikio. Lakini nikiwa Mzanzibari, naiona nchi yangu ya Zanzibar ina jambo linalohusiana na taifa la Singapore ambalo Lee Kuan Yew aliyefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 23 Machi 2015 akiwa na umri … Continue reading Kwaheri Maalim Lee
