Wanigeria wameamua, Wazanzibari wanafuatia
Dunia imesikia yaliyojiri Nigeria. Baada ya miaka 16 tangu uanze uchaguzi wa kidemokrasia hatimaye Wanigeria walio wengi wameamua kwamba wakati wa MABADILIKO (CHANGES) umewadia. Wamekipa fursa chama...
View ArticleKikombe kimoja tu kwake, mambo yote poa tehe tehe tehe
Ingawa waliletwa wapishi wengine kuchoma ndafu na kutengeneza pilao ya kuwalisha watu mithili ya Biblia, bado Hidaya wako amekimbia kupika hiki na kile kiasi kwamba bora usije maana unaweza kunikana...
View ArticleKwa nini tunakubali?
IKIWA kila Mtanzania atachukuwa kalamu na karatasi na kuyaeleza maisha yake tangu Tanganyika iwe huru mwaka 1961 na Zanzibar iwe Jamhuri mwaka 1964, tutapata hadithi ndefu sana. Nusu karne ushei si...
View ArticleKatiba ishaota mbawa
Ilikwishajulikana tangu mapema kuwa theluthi mbili 2/3 ya Kura za Zanzibar isingepatikana! Lakini zilifinyangwafinyangwa mpaka tukatangaziwa kuwa zimepatikana! Hili lilikuwa ndani ya uwezo na ghilba za...
View ArticleBabu alipokuwa mgeni wa Nyerere
JUMAPILI, Novemba 9, 1975, siku mbili kabla ya Ureno kusalimu amri na kuipa Angola uhuru wake, Radio Tanzania, Dar es Salaam, ilinguruma ikiwapasha Watanzania habari motomoto wasizozitarajia siku hiyo...
View ArticleWanaoapa kutotoa nchi kwa ‘vikaratasi’ wapime kasi ya wimbi
Tuacheni utashi wa maslahi binafsi na tuwekeni mbele utashi wa maslahi ya umma zaidi. Dk. Shein na Maalim Seif, wawili nyinyi ndio tuliowachagua kushika dola mwaka 2010 ili mtuongoze kwa amani na...
View ArticleCCM jifunzeni kukubali kushindwa kwa njia za amani
“CCM inapaswa kujitayarisha kisaikolojia kuupokea ukweli huo. Wala isije ikajitia wazimu wa kuiingiza nchi kwenye machafuko kwa kuwa imekataliwa na umma. Ikajipange kwenye upinzani ili isije ikapotea...
View ArticleMaalim Seif ni ahadi iliyoshinda vikwazo vyote
SASA Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kufuta propaganda yake dhidi ya Maalim Seif Shariff Hamad ambaye ameapa kuwa pamoja na Wazanzibari awe ndani au nje ya serikali. Maalim Seif ameshafunguka....
View ArticleKwa nini 2015 ni mwaka tafauti?
Wanapropaganda wa chama tawala, CCM, na wanamkakati wa chama hicho kilichoshindwa kuiongoza Zanzibar kuelekea kwenye maendeleo na uwezo wa kujitegemea na kujiendesha kwa miaka 50 sasa, wamo kila pembe...
View ArticleHaya hapa madudu ya ZEC
Niwakumbushe tu wenzangu kwamba wimbi la mabadiliko linapofikia wakati wake huwa halizuiliki tena. CCM isitarajie kuendelea kubakia madarakani kwa kutumia njia za hadaa, udanganyifu, hujuma, nguvu,...
View ArticleUchaguzi mkuu upo au haupo?
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimeitilia shaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika ugawaji wa majimbo, kukamilika kwa uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, upigaji wa kura […]
View ArticleCCM, ZEC zamjibu Maalim Seif
Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, […]
View ArticleVitambulisho vya Mzanzibari vyazua balaa Pemba
Siku mbili baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, kuituhumu Tume ya Uchaguzi ya […]
View ArticleShoka husahau miti, miti hailisahau shoka
Balahau mwenzangu nakukumbusha kuwa miezi michache ijayo, nchi yetu itaingia katika mchakato wa uchaguzi ambao ukimalizika hauji tena mpaka baada ya miaka mitano mingine. Hapo ikiwa bado uhai na uzima […]
View ArticleKura hazitaki kupigwa tu, zinahitaji pia kulindwa
Niende moja kwa moja kwenye nukta yangu. Mwaka huu wa 2015 tunaouita kuwa mwaka wa maamuzi unamaanisha kwamba, ndiyo, tutajiandikisha kwa wingi kuwa wapiga kura na kisha, ndiyo, tarehe 25 […]
View ArticleBoflo ya CCM Zanzibar inapojaa sisimizi
Kwa wale walaji wa mikate ya kiasili ya Kizanzibari, maarufu kama boflo, wanafahamu ambacho hutokea pale mkate huo unapovamiwa na umma wa sisimizi. Hususan pale mlaji wa mkate huo anapokuwa […]
View ArticleYaliyotokea kifo cha Abdallah Kassim Hanga
WAKATI Dk. Harith Ghassany anaandika kitabu chake, ”Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,” siku moja usiku alinipigia simu kutoka Washington. Wakati ule mimi naishi Tanga. Dk. Ghassany akaniuliza kuhusu...
View ArticleMuungano umejaa mikwara mwanzo mwisho
MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar umetimiza miaka 51 kwa kero na homa za vipindi, lakini pamoja na hayo umedumu na unaendelea kudumu katika hali hiyo. Ingawa imedaiwa mara nyingi kwamba […]
View ArticleMsiba uliyoikumba historia ya Zanzibar
Msiba mkubwa wa historia za viongozi wa Afrika ni kuwa wao hutaka historia ziandikwe zitakazowakweza wao na si kinyume cha hivyo. Historia ya Zanzibar haikusalimika na tatizo hili. Hadi kilipotoka […]
View ArticleCCM na kifo cha nyani Zanzibar
Kuna msemo maarufu wa Kiswahili usemao: “Siku za mwizi ni arubaini” ukimaanisha kwamba mwizi aibe aibavyo, ajifiche ajifichavyo, akimbie akimbiavyo, adanganye adanganyavyo, lakini safari yake hiyo...
View Article