Isifike wakati raia akajenga hisia kuwa hatapanda zaidi ya alipo kwa sababu hafanani au hakubaliki kimtizamo au hatapanda alipo kwa sababu tayari ana chapa ya kuwa sio mwenzetu, ingawa hilo hufanywa kwa hila na kwa siri. Ila zama hizi za sayansi na teknolojia Mheshimiwa Rais zimemuumbua Waziri wako aitwae Haji Omar Kheir, kama kipande cha … Continue reading Rais Shein, muondowe Haji Omari Kheri ulinde heshima yako
