Kamata kamata Zanzibar
Kumeibuka kamatakamata ya watu wanaotuhumiwa kuhusika na miripuko ya mabomu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar na baadaye wahusika husafirishwa nyakati za usiku kwenda Tanzania Bara,...
View ArticleThe problem is not the walkout by UKAWA, but the reasons that led to it
Why is Samwel Sitta not interested in the return of UKAWA? This may appear as a strange allegation against the Constituent Assembly Chairman, Samuel Sitta, who is calling a meeting of its Consultative...
View ArticleZitto: Wapambe wametufitini na Mbowe
Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameeleza tofauti yake na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema imesababishwa na watu aliowaita wapambe. Zitto (37), ambaye alikuwa naibu...
View ArticleWaislamu Zanzibar watakiwa kutoa zaka.
Kukosekana kwa Utaratibu nzuri wa Utoaji na Usambazaji wa Zaka ni moja ya matatizo yanayopelekea Zanzibar kuendelea kuwa na Watu wanaoishi katika mazingira magumu na Umasikini uliopindukia. Mwenyekiti...
View ArticleCCM wafurahia matokeo ya Scotland, Uingereza
Kushindwa kujitenga kwa Scotland kutoka himaya ya ufalme wa Uingereza, kumetoa somo kwa wanasiasa kwamba hawana haki ya kuwafanyia uamuzi wananchi. Akitoa maoni yake kuhusiana na matokeo ya kura...
View ArticleElimu bila malipo, malipo bila elimu?
Leo ilikuwa ni siku adhimu sana kwa Wazanzibari siku ambayo ilitangazwa elimu bila malipo kila ifikapo siku kama hiyi wanafunzi huisherekea kwa kwaya ,michezo ya kuigiza ,mbio za vijiti aina mbali...
View ArticleNinaishi Magharibi
Kwa lugha na utamaduni wangu, magharibi ina maana nyingi: ndiko jua linakotulia likaibadilisha leo kuwa jana na kuitayarisha kesho kuwa leo. Ndicho kielelezo pia cha kumalizika kwa maisha ya mwanaadamu...
View ArticleNahodha: Wanasiasa wanaweza kupoteza amani Zanzibar
Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoundwa mwaka 2010 baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu imesaidia kumaliza uhasama, chuki, dharau na mambo mengine ambayo yaliwagawa Wazanzibari tangu ulipoingia mfumo wa...
View ArticleUhuru wa Disemba 10 ulimuondoa mkoloni, Mapinduzi yaliondosha ufalme
Zanzibar iliingia katika historia ya kupewa uhuru wake kutoka kwa Muingereza na serikali ya kwanza ikaundwa visiwani katika uongozi wa Waziri Mkuu Mohamed Shamte chini ya utawala wa kifalme. Nimepitia...
View ArticleZiara yenye matunda ndio itakiwayo
Na Foum Kimara Ninafarajika kukuta safari za viongozi zinazokuja na matokeo ya matumaini mema nchini. Na ndio tutaendelea kupigania uwepo wa serikali ya umoja ilio na ufanisi mkubwa kuliko huu wa sasa,...
View ArticleKila mahala ngoma, tunaficha nini?
Na Mohammed Ghassani Ijumaa ya tarehe 6 Februari 2015, Rais Joachim Gauck wa Ujerumani na ujumbe wake waliondoka mjini Arusha kurejea kwao baada ya kuwepo ndani ya ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleKura ya Maoni ya Katiba Mpya haifai Z’bar
Nimewahi kusema kuwa kuna haja ya kutumika busara ili Kura ya Maoni isifanyike kabisa mwaka huu na niliungana na wale waliokuwa na fikra kama hiyo, hadi pale wenzangu walipobadilika. Walibadilika kwa...
View ArticleBodi ya kuwaenzi waasisi yahitaji kusaidiwa – Maalim Seif
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ameshauri sheria ya kuwaenzi waasisi wa taifa ifanyiwe marekebisho, ili kuiwezesha bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi hao...
View ArticleHaji Omari Kheri bado una moyo wa kuongoza?
Mkanda wa sauti iliyonaswa kwenye mazungumzo yanayoaminika kufanywa na Waziri wa Tawala za Mikoa visiwani Zanzibar, Haji Omari Kheri, na “watu wake“, yumkini akiwa kijiji cha Jongowe, Tumbatu,...
View ArticleKwaheri Salmin Awadh Salmin
Miongoni mwa ujasiri wa kuandika tanzia ni kusema uongo kidogo kwa ajili ya marehemu, maana jamii yetu imejengwa juu ya imani kuwa maiti haisemwi kwa ubaya, na hivyo nawe hupaswa kumsifia kwa kila...
View ArticlePawe na katiba mpya ama la, umoja wa kitaifa lazima Z’bar
Safari yangu nyumbani Zanzibar ilikuwa ya muda mfupi tu – siku tano tu za wiki ya pili ya mwezi huu wa Februari 2015. Hata hivyo, mafanikio yake yalikuwa ni makubwa si haba, panapohusika jicho la...
View ArticleSitta anapoonesha rangi yake halisi
Na Foum Kimara Tunaposema kuna maradhi ya woga wa mabadiliko au chuki tu za kuupandikiza Uarabu kama adui huwa hatukosei. Mwaka huu tutayaona na kuyasikia mengi hasa kwa upande wa Zanzibar. Tena...
View ArticleNi kweli Tanzania inawaogopa ‘Waarabu wa Zanzibar’?
Fitina nyengine inapandwa dhidi ya Wazanzibari na dhidi ya Zanzibar. Na mpandikizaji wa mara hii ni Samuel Sitta, waziri mwandamizi kwenye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana ya...
View ArticleUkomo wa akili za Shaka na Sadallah mbele ya “Mguu Mbele Mguu Nyuma”
Kiilivyo si mada kubwa na isingepata nafasi kwenye mtandao huu kama si gazeti la Mwananchi kupitikiwa na kujikuta likinasa kwenye siasa za maji-taka za mwakilishi wake visiwani Zanzibar, ambaye...
View ArticleIreland yawataka Wazanzibari kuyaendeleza Maridhiano kwa mazungumzo
Ireland imezihisi pande zinazowakilisha mitazamo tafauti ya kisiasa visiwani Zanzibar kujikita zaidi kwenye mazungumzo ya kutatua tafauti zao, kwa kuendeleza misingi ya maridhiano na umoja wa kitaifa...
View Article