Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Ajenda ya Zanzibar ndiyo ajenda ya Tanzania 2015 – I

$
0
0
Kuna mambo mawili matatu ya kuyaweka sawa kabla ya kuingia kwenye kiini cha mjadala wenyewe. Kwanza ni kujibu swali ambalo niliwahi kuulizwa kitambo, la ikiwa kweli kuna kitu kinachoitwa “ajenda ya Zanzibar” katika Muungano wa Tanzania. Msingi wa swali hilo ni ukosoaji wangu dhidi ya wale ninaowaona kuwa ni maadui wa ajenda hiyo. Niliulizwa pia … Continue reading Ajenda ya Zanzibar ndiyo ajenda ya Tanzania 2015 – I

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles