Kongamano la Wannsee nchini Ujerumani lililofanyika mwezi Januari 1942 lilipitisha azimio lililokuja kupewa jina la “die Endlösung der Judenfrage”, yaani “suluhisho la mwisho kwa tatizo la Mayahudi”, ambalo baadaye lilikuja kujulikana kwa kifupisho chake cha Endlösung, yaani “suluhisho la mwisho”. Suluhisho hili la mwisho ulikuwa mpango wa utawala wa Kinazi wakati wa Vita ya Pili … Continue reading Jibu la mwisho kwa tatizo la Zanzibar
