Idhaa ya Kiswahili ya Deustche Welle nchini Ujerumani imeanzisha kampeni maalum ya mwezi mmoja (Machi 2015) kuongeza nguvu kwenye mapambo dhidi ya ukatili wanaotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania. Kwenye mfululizo wake wa makala, ripoti na mahojiano na watu mbalimbali, asasi za kijamii na mashirika ya kimataifa ndani ya Tanzania na maeneo mengine … Continue reading DW yajitosa vita dhidi ya ukatili wa albino T’nia
