Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Hata Kikwete ‘hamjui’ tena Marehemu Salmin Awadh

$
0
0
Wiki hii, Rais Jakaya Kikwete amezungumza na wananchi kupitia kutoa hotuba yake ya kila mwezi kwa njia ya televisheni – dasturi aliyoirithi kutoka kwa mtangulizi wake, Benjamin Mkapa, ya kila mwisho wa mwezi (anaopata wasaa) kuzungumzia masuala, matukio, na changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika nchi yetu kwa mwezi uliokwisha. Lakini kwa mara nyengine tena, akiwa ni … Continue reading Hata Kikwete ‘hamjui’ tena Marehemu Salmin Awadh

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles