Tuziangalie na tuzilinganishe nchi tatu – Seychelles, Mauritius na Zanzibar – ambazo zote ni visiwa vinavyoelea kwenye Bahari ya Hindi. Jamhuri ya Seychelles iko umbali wa kilomita 1,500 kutoka kusini mashariki mwa Afrika, ikiwa na wakaazi 90,000 na kidogo, Jamhuri ya Mauritius iko umbali wa kilomita 2,000 kutoka upande huo huo wa bara la Afrika … Continue reading Mauritius, Seychelles, Zanzibar na hadithi yenye ncha saba
