Jioni ya tarehe 29 Machi 2015, msafara wa wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakitoka Makunduchi, kusini Unguja, kuelekea Mjini Magharibi, ulishambuliwa njiani na ‘watu wasiojulikana.’ Hilo neno ‘watu wasiojuilikana’ tuliwache hivyo hivyo kwenye alama za mashaka, maana ni mtazamo wangu kwamba ni kinyume chake, yaani ni ‘watu wanaojuilikana’ na wale wanaopaswa na wenye … Continue reading Kauli ya ‘kutolipiza kisasi’ yahitaji kushereheshwa
