Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Dk. Ali Mohammed Shein atakumbukwa daima ndani na nje ya Zanzibar kwa mchango wake kwa ajenda ya Zanzibar ndani ya Muungano. Aliitendea vyema nafasi yake na aliitumikia Zanzibar kwenye kiwango cha juu kabisa cha utumishi wa umma uliotukuka. Kizuri na cha … Continue reading Othman Masoud atabakia daima kwenye rikodi
