Jumanne ya leo tarehe 10 Machi 2015, mke wa aliyekuwa rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ametiwa hatiani na mahakama ya nchi hiyo kwa makosa matatu – kuhujumu usalama wa nchi, kuchafua amani na utulivu na kuandaa magenge yenye silaha baada ya uchaguzi mkuu wa Disemba 2010. Katika uchaguzi huo, mumewe alikuwa ameshindwa na waziri … Continue reading Kila leo ina kesho
