JUMAMOSI iliyopita, Edward Lowassa, aliwakuna Wazanzibari. Akiuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mnazi Moja, Unguja, Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Tanzania wa Chama cha Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vitatu vingine vya upinzani, alitangaza kinaga ubaga kwamba yeye ni muumini wa muundo wa Muungano wa Serikali tatu utaoirejeshea Zanzibar mamlaka yake kamili. […]
↧