Afrika yasonga mbele. Hilo halina shaka. Tafiti kadhaa za mashirika makubwa ya kimataifa zinaonesha kuwa Afrika inasogea kwa kasi kwenye ukuwaji wa kiuchumi na vijana wake wanazidi kugundua fursa za kujituma na kutumia nishati na akili zao kuleta mabadiliko kwa jamii na bara lao. Lakini kuna hadithi nyengine pia. Ukuwaji wa uchumi na upanukaji wa […]
↧