Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Mabadiliko hayaji kirahisi, lakini hayazuiliki

$
0
0
Napenda kuelezea machache tu kwa wale wote ambao ni wepesi wa mioyo yao na wanajisahau kuwa sisi Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla tupo katika mapambano na harakati za kimageuzi katika nchi yetu.   Kwa kutambua hilo kwanza, basi hatuna budi kabisa kujiridhisha kua sio kazi rahisi kama wengi wanavyodhania kuondoa tawala ambazo zimekaa kwa muda mrefu na ambazo bado zinashikilia mihimili mikuu ya mageuzi ya …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles