Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

*Mazungumzo yafikia hatua kubwa – Dk. Shein

$
0
0
Mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambapo tarehe 25 Oktoba, wananchi wa Zanzibar walishiriki katika kuwachagua Viongozi kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi Mkuu ulitanguliwa na kampeni za vyama vilivyoshiriki uchaguzi huo na wananchi walishiriki kwa wingi katika kampeni zake. Uchaguzi wa Viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliosimamiwa na Tume …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles