“Man qalal balozi fahuwa labayka”, ndivyo uwendavyo msemo wa Kiarabu ukimaanisha chochote alichokwishasema mkubwa fulani, basi kitu hicho kwa vyovyote vile ni sahihi tu. Labda tuseme Kizungu chake ni “Yes, Boss!” na Kiswahili chake ni “Ndiyo Mzee!” Ni msemo unaoonesha kuwa akili na uwezo wa kufikiri wa baadhi ya wanaoogozwa huanza na kuishia penye pua […]
↧