Kauli ya Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, mbele ya mkutano mkuu wa Chama chake cha Mapinduzi (CCM) kule Dodoma ya kuwataka wana-CCM wenziwe “wasiwe kama samaki” inawakhalisi wahusika kwa mengi kutokana na matendo na kauli za watu hao. Na hapa nitasema kwa nini. Miongoni mwa sifa za samaki ni kusahau. Uchaguzi huru na wa halali ulifanyika na kumalizika Zanzibar mnamo tarehe 25 Oktoba …
↧