Mnamo tarehe 10 Juni 2015, niliandika makala iitwayo “CCM Zanzibar haina uhalali kujinasibisha na mapinduzi” nikionesha jinsi mwakilishi wa zamani wa jimbo la Mwanakwerekwe, Waziri Kiongozi Mstaafu, waziri wa zamani wa mambo ya ndani na pia ya ulinzi, Shamsi Vuai Nahodha, alivyotumia moja ya mikutano yake ya hadhara kwenye jimbo hilo kuwakumbusha wana-CCM wenziwe mambo ambayo endapo wakiyapuuzia, basi itatokezea siku Wazanzibari watawakosesha uhalali wa kuongoza nchi, …
↧