Kwa mara nyengine tena, Zanzibar imo kwenye mzozo usioweza kuelezeka kwa msamiati wowote zaidi ya uhuni wa waroho wa madaraka, japokuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Masuala ya Afrika Mashariki na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga anatumia kijembe cha “utamaduni wa kisiasa wa Zanzibar”. Huu si utamaduni. Huu ni uhuni uliopewa sura ya kisiasa kwa kuwa unatendwa na wanaoitwa wanasiasa. Ni jambo jema kwamba …
↧