Dkt. Ali Mohamed Sheni ndie Makamo mwenyekiti wa CCM, ambapo kwa upande wa Zanzibar yeye ndiye mtendaji mkuu kupitia chama hicho kikongwe ambacho katika uchaguzi wa 25 Oktoba 2015 kilonekana kilipitwa kwa tofauti ya kura zaidi ya 20,000 na chama cha wananchi (CUF), mbali ya wadhifa huo kichama pia ndiye aliyekuwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Serekali iliyomalizika muda wake …
↧