Moja ya mafanikio makubwa ya Rais Kikwete ni kuimarisha uhusiano wa Tanzania na mataifa makubwa hususan Marekani na China. Rais Kikwete alifanikisha Tanzania kupata msaada mkubwa wa Millennium Challenge Corporation – MCC wa dola milioni 698 kutoka serikali ya Marekani uliogharamia miradi mingi ya sekta ya usafiri, nishati na maji katika kipindi cha miaka 5 kati ya 2008 – 2013. Naunga mkono azma ya Rais …
↧