Kwa miongo kadhaa, raia wa Jamhuri ya Gongo walipambana dhidi ya uwongozi uliokuwepo ili kuleta mabadiliko. Walipigana mchana na usiku, jua na mvua, ili mabadiliko yapatikane. Adidi na Adodo walikuwa marafiki wakubwa na pia viongozi waliokuwa wakitaka madadiliko. Katika uchaguzi mkuu, Adidi aligombea ukuu wa nchi. Kutokana na sera nzuri na umakini pamoja na ustadi wa kuzungumza, akapata umaarufu mkubwa na kuibuka mshindi katika uchaguzi …
↧