Nimesoma kwa kiasi kikubwa maoni ya watu kupitia mitandao ya kijamii na makala ya baadhi ya magazeti kuhusu hatua ya kukutana na mazungumzo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, na aliyekuwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi – CUF (UKAWA), Maalim Seif Shariff Hamad. Kwa kiasi kikubwa maoni yanatofautiana, wapo waliopongeza na kuona kwa hatua …
↧