Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Lau Jecha angekuwa mtu wa insafu…

INSAFU ni kito na johari yenye thamani adhimu. Kama wewe ni miongoni mwa watu waliojaaliwa kuwa na johari hiyo katika kuhukumu mambo, soma maelezo yafuatayo, kisha jibu suali la maelezo hayo kwa insafu. Mwaka 1995 wakati ilipodhihirika kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ameshinda uchaguzi, aliyekuwa Naibu […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles