Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

CCM na upotoshaji wa kilichopotoka

$
0
0
Kuna kitu kinapotoshwa kama si kwa bahati mbaya basi ni kwa kukusudia, Kamati Maalum ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, imekutana kujadili hali ya kisiasa Zanzibar, taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Bi. Waride Bakar, ni kuwa, kikao hicho kimeunga mkono mazungumzo yanayoendelea Ikulu ya Zanzibar, kuhusu mwafaka wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar. Aidha Waride amewataka wana-CCM kujiandaa …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles