Safari yangu nyumbani Zanzibar ilikuwa ya muda mfupi tu – siku tano tu za wiki ya pili ya mwezi huu wa Februari 2015. Hata hivyo, mafanikio yake yalikuwa ni makubwa si haba, panapohusika jicho la uchambuzi wa kisiasa hasa kwa wakati huu ambapo nchi inajitayarisha kwa kura mbili – ile ya maoni ya katiba mpya … Continue reading Pawe na katiba mpya ama la, umoja wa kitaifa lazima Z’bar
